Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumatano, 28 Februari 2018

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (5) - Ushuhuda wa Kupitia Hukumu Mbele ya Kiti cha Kristo na Kupokea Uzima

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (5) - Ushuhuda wa Kupitia Hukumu Mbele ya Kiti cha Kristo na Kupokea Uzima Mwenyezi Mungu ameanzisha kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu kwa kuonyesha ukweli. Utangulizi wa hukumu kabla ya ufalme mkuu mweupe kuanza. Tunapitia...

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (2) - Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (2)

Umeme wa Mashariki | "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (2) - Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (2) Waumini wengi wa Bwana wanahisi kwamba almradi tukiyafuata maneno ya Bwana, tukitenda unyenyekevu na uvumilivu, na kufuata mfano wa Paulo kwa...

Jumanne, 27 Februari 2018

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (4): Ni nini Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kazi ya Bwana Yesu?

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (4): Ni nini Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kazi ya Bwana Yesu? Baadhi ya watu huamini kwamba baada ya Bwana Yesu kufufuka na kupaa mbinguni, Roho Mtakatifu alishuka kufanya kazi kwa mtu katika siku...

Umeme wa Mashariki | "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (3) - Ufalme wa Mbinguni u Wapi Hasa?

Umeme wa Mashariki | "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (3) - Ufalme wa Mbinguni u Wapi Hasa? Matamanio yetu makuu sisi tunaoamini katika Bwana ni kukaribisha kurudi kwa Bwana, kuletwa katika ufalme wa mbinguni, na kupokea ahadi na baraka za Mungu. Watu wengi wanaamini...

Jumatatu, 26 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (1) - Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (1)

Umeme wa Mashariki | "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (1) - Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (1) Waumini wengi wa Bwana wanahisi kwamba almradi tukiyafuata maneno ya Bwana, tukitenda unyenyekevu na uvumilivu, na kufuata mfano wa Paulo kwa...

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili ) Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba "Biblia ni ufunuo wa Mungu," "Biblia...

Jumapili, 25 Februari 2018

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu Fu Jinhua alikuwa mzee wa kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini,...

Hymn of Christian Experience (Swahili) "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Hymn of Christian Experience (Swahili) "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha. Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka. Mimi niko bila uhasi...

Jumamosi, 24 Februari 2018

Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

 Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu Yongxin, Jiji la Yibin, Mkoa wa Sichuan Hatukuwahi kumwamini Mungu kabla. Mnamo mwaka wa 2005, tukitiwa moyo na Mungu, mume wangu, baba mkwe wangu, mjomba wangu, na mimi wote tuliikubali kazi ya Mungu ya siku...

Ijumaa, 23 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | 3. Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Umeme wa Mashariki | 3. Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu … Huimin Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena, basi niliwaangalia kwa dharau....

Alhamisi, 22 Februari 2018

Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini "Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu"

Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini "Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu" Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana, vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu. Angalia kandokando yako, si kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya. Kila...

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III Mwenyezi Mungu alisema, Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa na athari kubwa kwa kila mmoja wa watu. Kwa sasa, watu wanaweza hatimaye kuhisi uwepo wa kweli wa Mungu na kwamba Mungu kwa hakika yuko karibu sana na wao. Ingawa watu wamemwani Mungu kwa miaka mingi, hawajawahi...

Jumatano, 21 Februari 2018

Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko" Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo...

Swahili Christian Movie Trailer | "Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China"

Swahili Christian Movie Trailer | "Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China" Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua...

Jumanne, 20 Februari 2018

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya Upendo wa Kweli wa Mungu Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura...