Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumatatu, 9 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”

Umeme wa Mashariki | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe” Kwa maelfu kadhaa ya miaka, mwanadamu ametamani kuweza kushuhudia kufika kwa Mwokozi. Mwanadamu ametamani kumtazama Yesu Mwokozi katika wingu jeupe Anaposhuka, yeye binafsi, kati ya wale ambao wamengoja...

Jumamosi, 7 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Kubagua dhidi ya Watu wa Nje ni Uovu Sana!

Umeme wa Mashariki | Kubagua dhidi ya Watu wa Nje ni Uovu Sana! Xiaojin Kaunti ya Pan’an , Mkoa wa Zhejiang Katika mwezi wa Februari mwaka wa 2007, kanisa lilipokea mpango wa kazi uitwao "Nyunyizia na Uwape Waumini Wapya ili Kuwasaidia Kukita Mizizi Haraka Iwezekanavyo."...

Ijumaa, 6 Aprili 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I Mwenyezi Mungu alisema, Kwa wakati huu, tunafaa kuunganisha mazungumzo yetu na sasa. Kama Mungu angeweza kufanya mambo haya madogo mbalimbali kwa binadamu Aliowaumba hapo mwanzo...

Kuhusu Biblia (4)

Kuhusu Biblia (4) Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? Hakuna anayejua uhalisia wa Biblia: kwamba si kitu chochote zaidi ya rekodi...

Alhamisi, 5 Aprili 2018

Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu

Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu Mwenyezi Mungu alisema, Ni lazima myafahamu maono ya kazi ya Mungu na mpate mwelekeo wa kazi Yake. Huku ni kuingia kwa njia nzuri. Punde unapong’amua ukweli wa maono kwa usahihi, kuingia kwako...

Jumatano, 4 Aprili 2018

Kuhusu Biblia (3)

Kuhusu Biblia (3) Mwenyezi Mungu alisema, Sio kila kitu katika Biblia ni rekodi ya maneno aliyoyasema Mungu. Kimsingi Biblia inaandika hatua mbili za awali za kazi ya Mungu, ambapo sehemu moja ni rekodi ya utabiri wa kale wa manabii, na sehemu nyingine ni uzoefu na...

Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu

Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu Watu wa Mungu wanainuliwa mbele ya kiti Chake cha Enzi, maombi mengi mioyoni mwao. Mungu huwabariki wote wanaorejea Kwake; wote wanaishi katika mwanga. Omba Roho Mtakatifu alipe...

Jumanne, 3 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Dibaji

Umeme wa Mashariki | Dibaji Mwenyezi Mungu alisema, Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu...

Neno la Mungu Humwongoza Mtu Kuishi Maisha Mapya | Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana

Neno la Mungu Humwongoza Mtu Kuishi Maisha Mapya | Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana I Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako. Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme. Sisi watu wa...

Jumatatu, 2 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Maonyo Matatu

Umeme wa Mashariki | Maonyo Matatu Mwenyezi Mungu alisema, Kama muumini wa Mungu, hufai kuwa watiifu kwa yeyote mwingine isipokuwa Yeye katika mambo yote na mjilinganishe na moyo Wake katika mambo yote. Hata hivyo, ingawa wote huelewa mafundisho haya, ukweli huu wa kimsingi...

Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa Mungu

Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa Mungu Mwenyezi Mungu alisema, Watu wote wana tamaa ya kuona uso wa kweli wa Yesu na kutaka kuwa pamoja Naye. Naamini kuwa hakuna mmoja wa ndugu au dada anayeweza kusema kwamba yeye hana nia ya kumwona au kuwa pamoja...

Jumapili, 1 Aprili 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III

12. Maneno ya Yesu kwa Wanafunzi Wake Baada ya Kufufuka Kwake (Yohana 20:26-29) Na baada ya siku nane wanafunzi wake walikuwa ndani tena, na Tomaso pamoja nao: Kisha akaja Yesu, na milango imefungwa, na akasimama katikati, kisha akasema, Amani iwe kwenu. Kisha akamwambia...