
Jumamosi, 14 Julai 2018
Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa | Mwenyezi Mungu

Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa | Mwenyezi Mungu
I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa...
Ijumaa, 13 Julai 2018
Tamko la Thelathini na Saba
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 13, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments


Tamko la Thelathini na Saba
Kotekote katika enzi, kazi yote Niliyoifanya—kila hatua ya kazi hiyo—imekuwa na mbinu Zangu zinazofaa za kazi. Ni kwa sababu ya hili ndio watu Wangu wapendwa wamekuwa watakatifu zaidi na zaidi, na wa kufaa zaidi na zaidi kwa matumizi Yangu....
Alhamisi, 12 Julai 2018
New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa
New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa
Utambulisho
lake ni Zheng Lu, na tangu utotoni, alikuwa hasa ovyo. Kwa sababu ya ushawishi wa kijamii na elimu ya utamaduni wa kidesturi wa Kichina, alisoma bila kuchoka, akitumai kufikia chuo kikuu na kufanikisha ndoto yake ya kuwapiku marika wake...
Jumatano, 11 Julai 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Moja
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 11, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments


Kwa macho ya mwanadamu, inaonekana hakuna badiliko katika matamshi ya Mungu wakati wa kipindi hiki, ambalo ni kwa sababu watu hawawezi kuelewa sheria ambazo kwazo Mungu hunena, na hawafahamu muktadha wa maneno Yake...
Jumatatu, 9 Julai 2018
Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 09, 2018Fichua-Siri-Kuhusu-Biblia, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Umeme-wa-MasharikiNo comments

Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia
Feng Jiahui na wazazi wake waliamini katika Bwana tangu alipokuwa mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka 18 aliingia katika shule ya seminari, na katika miaka yake ya 30 akawa mhubiri katika kanisa la nyumba huko Shanxi, Uchina. Kwa miaka mingi,...
Jumapili, 8 Julai 2018
Utangulizi

Utangulizi
Sehemu hii ya maneno ya Mungu ina jumla ya vifungu vinne; vilionyeshwa na Kristo kati ya mwishoni mwa mwaka wa 1992 na 2005. Mengi ya maneno hayo yanategemezwa kwa rekodi kutoka kwa mahubiri na ushirika Wake wakati Alitembea katika makanisa. Maandiko haya...
Jumamosi, 7 Julai 2018
Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God
Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God
Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako,
utaelewa kile kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kile kilicho ndani Yake
kwa imani na usikivu wako wote.
Unapofurahia kile kilicho...
Ijumaa, 6 Julai 2018
Ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili na Maana ya Kuteseka.

Ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili na Maana ya Kuteseka.
Maneno Husika ya Mungu:
Leo, watu wengi sana hawana ufahamu huo. Wao huamini kwamba mateso hayana thamani, wao hukanwa na ulimwengu, maisha yao ya nyumbani yamesumbuliwa,...
Alhamisi, 5 Julai 2018
Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 05, 2018Kutafuta-Mapenzi-ya-Mungu, kutenda-ukweli, Neno-la-MunguNo comments


Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo
Punde tu watu wanapokuwa na haraka wakati wakiutumiza wajibu wao, hawajui jinsi ya kuuzoea; punde tu wanaposhughulika na mambo, hali yao ya kiroho inakuwa na matatizo;...
Jumatano, 4 Julai 2018
Best Swahili Worship Song "Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu
Best Swahili Worship Song"Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu
I
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kukurudia Wewe.
Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sana.
Mara nyingi nilitoa machozi na kuhuzunika sana,
mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini...
Jumatatu, 2 Julai 2018
20. Ni Nani Anayejua Moyo wa Kutunza wa Mungu?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 02, 2018Kumjua-Mungu, mapenzi-ya-Mungu, Mungu-ni-mwenye-hakiNo comments


20. Ni Nani Anayejua Moyo wa Kutunza wa Mungu?
Qingxin Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Kuhusu kipengele cha ukweli cha "Mungu ni mwenye haki ", siku zote nilikuwa na ufahamu wa upuuzi kwa kiasi fulani. Nilidhani kuwa almradi mtu fulani hufichua upotovu...
Jumapili, 1 Julai 2018
Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kukaribia Hatari na Kurudi"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 01, 2018imani-ya-kidini, Mateso-ya-Kidini, Nyendo, ukatili, ushahidiNo comments


Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kukaribia Hatari na Kurudi"
Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika...