Jumapili, 6 Januari 2019
5. Imani Katika Mungu Haipasi Kuwa kwa ajili ya Kutafuta Amani na Baraka Pekee.
By UnknownJanuari 06, 2019imani-katika-Mungu, Kondoo-wa-Mungu-Huisikia-Sauti-ya-Mungu, Maombi, Neema, Vitabu, WokovuNo comments
Maneno Husika ya Mungu:
Leo, lazima uwe katika njia sahihi kwani unaamini katika Mungu wa vitendo. Kwa kuwa una imani katika Mungu, hupaswi tu kutafuta baraka, lakini pia kutafuta kumpenda Mungu na kumjua Mungu. Kupitia kwa kupata nuru kutoka Kwake na harakati yako mwenyewe, unaweza kula na kunywa neno Lake, kukuza ufahamu wa kweli kuhusu Mungu, na kuwa na upendo wa kweli kwa Mungu unaotoka moyoni mwako.
Jumamosi, 5 Januari 2019
3. Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo?
By UnknownJanuari 05, 2019Kondoo-wa-Mungu-Huisikia-Sauti-ya-Mungu, Kristo, Roho-Mtakatifu, siku-za-mwisho, Vitabu, YesuNo comments
Sura ya 6 Aina Mbalimbali za Utofautishaji Ambazo Unafaa Kumiliki katika Kusadiki Kwako kwa Mungu
3. Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo?
Mungu aliyepata mwili Anaitwa Kristo, na hivyo Kristo ambaye Anaweza kuwapa binadamu ukweli anaitwa Mungu. Hakuna kitu kikuu kuliko hiki, Kwa kuwa Anayo hali ya Mungu, na ana tabia za Mungu, na hekima katika kazi Yake, ambayo haiwezi kupatikana kwa binadamu.
Ijumaa, 4 Januari 2019
Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?
By UnknownJanuari 04, 2019Christian-Video, Injili, Ukweli, Upendo-wa-Mungu, ushuhuda, VideoNo comments
Umeme wa Mashariki | Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?
Umeme wa Mashariki | Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?
Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya kumwamini Mungu Chen Xi alisoma maneno ya Mungu kwa wingi na akaja kuelewa kiasi fulani cha ukweli.
Alhamisi, 3 Januari 2019
Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu
Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu
Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Jumatano, 2 Januari 2019
4. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Majaribio na Utakasaji.
By UnknownJanuari 02, 2019Kondoo-wa-Mungu-Huisikia-Sauti-ya-Mungu, Mungu, Nyimbo, siku-za-mwisho, Ukweli, Usafishaji, VitabuNo comments
Sura ya 4 Lazima Mjue Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho
4. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Majaribio na Utakasaji.
Maneno Husika ya Mungu:
Majaribu haya yanailenga hali gani ya ndani ya watu? Yanalenga tabia ya uasi ndani ya watu ambayo haiwezi kumridhisha Mungu. Kuna mengi ambayo ni machafu ndani ya watu, na mengi ambayo ni ya unafiki, na kwa hivyo Mungu anawatia katika majaribu ili kuwasafisha. …
Jumanne, 1 Januari 2019
Neno la Mungu | "Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi" (Official Video)
Neno la Mungu | "Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi" (Official Video)
Mwenyezi Mungu anasema, "Hata hivyo unapaswa kujua, wanadamu Nilioumba walikuwa watu watakatifu na wenye mfano Wangu na utukufu Wangu. Hapo awali hawakuwa wa Shetani, wala hawakukabiliwa na kukanyagwa kwake, bali walikuwa tu udhihirisho Wangu, walikuwa huru kutokana na sumu yake.
Jumatatu, 31 Desemba 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma
By UnknownDesemba 31, 2018Filamu-za-Kikristo, Kristo, siku-za-mwisho, Ufalme-wa-Mbinguni, Ukweli, VideoNo comments
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma
Mwenyezi Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali.
Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli?
By UnknownDesemba 31, 2018Biblia, maneno-ya-Mungu, Sifa-na-Ibada, Ukweli, Ushuhuda-wa-Injili, Vitabu, YesuNo comments
Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli?
Na Siyuan
Vyanzo vya Krismasi
Kila mwaka, Krismasi inapokaribia, maduka kwenye mitaa hutayarisha maonyesho yang’aayo ya zawadi za Krismasi, pamoja na Baba Krismasi na miti ya Krismasi, na kadhalika. Kuna taa nyingi za rangi nyingi zilizoning’inizwa katika miti na kwenye majengo, na miji mizima hupambwa kwa fanusi na mapazia ya rangi nyingi, na kila mahali kuna furaha na msisimko.
Jumapili, 30 Desemba 2018
Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan
By UnknownDesemba 30, 2018Christian-Variety-Show, kanisa, Mungu, siku-za-mwisho, ushuhuda, VideoNo comments
Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan
Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho.
Ijumaa, 28 Desemba 2018
5 Unahitaji Kusadiki Vipi Mungu Ili Kuweza Kuokolewa na Kufanywa Kuwa Mtimilifu?
By UnknownDesemba 28, 2018Kondoo-wa-Mungu-Huisikia-Sauti-ya-Mungu, Kristo, Maombi, Mungu, ukamilifu, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments
Sura ya 4 Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho
5. Unahitaji Kusadiki Vipi Mungu Ili Kuweza Kuokolewa na Kufanywa Kuwa Mtimilifu?
Maneno Husika ya Mungu:
Kufanya muhtasari wa kuishika njia ya Petro katika kumwamini Mungu, ni kuishika njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kujijua na kubadilisha tabia ya mtu. Ni kwa kuishika tu njia ya Petro ndio mtu atakuwa anashika njia ya kukamilishwa na Mungu. Mtu lazima aelewe hasa jinsi ya kuishika njia ya Petro na jinsi ya kuiweka katika vitendo. Kwanza, mtu lazima aweke kando madhumuni yake mwenyewe, shughuli zisizofaa, na hata familia yake na vitu vyote vya mwili wake.Alhamisi, 27 Desemba 2018
1. Kwa nini Mungu huitwa majina tofauti katika enzi tofauti? Ni nini umuhimu wa majina ya Mungu?
By UnknownDesemba 27, 2018Kazi-ya-Mungu, Mashahidi-wa-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho, Mungu, siku-za-mwisho, Vitabu, YesuNo comments
IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake
1. Kwa nini Mungu huitwa majina tofauti katika enzi tofauti? Ni nini umuhimu wa majina ya Mungu?
Maneno Husika ya Mungu:
Unapaswa kujua kuwa Mungu mwanzoni hakuwa na jina. Yeye Alichukua tu jina moja, au majina mawili, ama majina mengi kwa sababu Alikuwa na kazi ya kufanya na Alikuwa na jukumu la kumsimamia mwanadamu. Jina lolote ambalo anaitwa Yeye, je, si lile analolichagua kwa hiari yake?
Jumatano, 26 Desemba 2018
9. Ninaona njia ya kumjua Mungu
By UnknownDesemba 26, 2018imani, maneno-ya-Mungu, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Vitabu, YesuNo comments
9. Ninaona njia ya kumjua Mungu
Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi
Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. … Tangu wakati huo akiwa na Yesu, Petro alitambua pia kwamba hulka Yake ilikuwa tofauti na ile ya binadamu wa kawaida.