Jumanne, 25 Septemba 2018
Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 25, 2018Kumtii-Mungu, kutenda-ukweli, mioyo-ya-uaminifu, Video, Video-za-Nyimbo-na-Kucheza, Wale-Wanaompenda-MunguNo comments

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)
Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana,
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi...
Jumatatu, 24 Septemba 2018
Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 24, 2018kumfuata-Mungu, Mateso-ya-Kidini, Mchezo-Mfupi-wa-Kuchekesha, Njama-za-Polisi, Video, Video-za-KikristoNo comments

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)
Ili kuondoa imani za dini, serikali ya CCP ambayo inakana Mungu mara kwa mara inatumia mikakati ya kuchunguza Wakristo kama vile kuendesha uchunguzi wa siri na kufuatilia ili kuwafutilia mbali wote. Kichekesho cha Njama za Polisi kinahusu ushirikiano wa maafisa waovu wa CCP katika...
Jumapili, 23 Septemba 2018
Utajiri wa Maisha
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 23, 2018Mateso-ya-Kidini, Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Utajiri-wa-Maisha, VitabuNo comments


Utajiri wa Maisha
Wang Jun Mkoa wa Shandong
Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na...
Jumamosi, 22 Septemba 2018
Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 22, 2018ninampenda-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo, sauti-ya-Mungu, Upendo-wa-MunguNo comments

Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace
Jua la haki linainuka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu Wako unajaza mbingu na dunia.
Mpendwa wangu, upendo Wako unauzunguka moyo wangu.
Wale wanaotafuta ukweli—wanampenda Mungu, kila mmoja.
Asubuhi na mapema, ingawa naamka peke yangu,
furaha...
Alhamisi, 20 Septemba 2018
Swahili Movie Clip: Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 20, 2018Filamu-za-Kikristo, Mungu-alivyouumba-ulimwengu, Mungu-amewaongoza-wanadamuNo comments

Swahili Movie Clip: Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu
Je, unataka kujua jinsi Mungu alivyouumba ulimwengu? Je, unataka kujua jinsi Mungu amewaongoza wanadamu hatua kwa hatua hadi leo? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", imerekodi kazi ya Mungu...
Jumatano, 19 Septemba 2018
Mapambano ya Kufa na Kupona
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 19, 2018maneno-ya-Mungu, Mapambano-ya-Kufa-na-Kupona, Mungu, Ukweli, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments


Mapambano ya Kufa na Kupona
Chang Moyang Mjini Zhengzhou, Mkoani Henan
"Unapoutelekeza mwili, bila shaka kutakuwa na mapambano ndani. Shetani anataka ufuate dhana za mwili, kulinda maslahi ya mwili. Hata hivyo, neno la Mungu bado linakupa nuru na kukuangaza ndani,...
Jumanne, 18 Septemba 2018
Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 18, 2018Enzi-ya-Neema, Enzi-ya-Sheria, Enzi-ya-Ufalme, Wimbo-wa-Maneno-ya-MunguNo comments

Wimbo wa Maneno ya Mungu| "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man
Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000,
uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi.
Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho.
Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja,
yote...
Jumatatu, 17 Septemba 2018
Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 17, 2018hukumu, kuokolewa-na-Mungu, Kuuelewa-Ukweli, maneno-ya-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments


Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu
Wenwen Mji wa Changchun, Mkoa wa Jilin
Kwa maoni yangu, daima nililidhani kwamba mradi matendo ya nje yalionekana ya kufaa ambapo watu hawangeweza kuona upotovu wowote, basi lilichukuliwa kuwa mabadiliko. Kwa hiyo, nilizingatia...
Jumapili, 16 Septemba 2018
Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 16, 2018Biblia, Bwana-Anavyorudi, Kutamani-Sana, MathayoNo comments

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi
Waumini wengi ndani ya Bwana wameusoma unabii ufuatao wa kibiblia: "Wao watamwona yule Mwana wa Adamu akifika kwa mawingu ya mbinguni akiwa na nguvu na utukufu mkubwa" (Mathayo 24:30). Wanasadiki kwamba wakati Bwana atakaporudi, ni yakini kwamba Atashuka akiwa...
Jumamosi, 15 Septemba 2018
Ni Upendo wa Mungu Tu Ulio Halisi
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 15, 2018Biblia-na-Mungu, Bwana-Yesu, kanisa, Mwenyezi-Mungu, Upendo-wa-Mungu, ushuhuda, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments


Ni Upendo wa Mungu Tu Ulio Halisi
Xiaodong Mkoa wa Sichuan
Mungu alisema, “Taifa la China ambalo limepotoshwa kwa miaka elfu nyingi limeendelea mpaka leo. Kila aina ya virusi vinaendelea kutanuka na vinasambaa kila mahali kama taun...
Ijumaa, 14 Septemba 2018
Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 14, 2018Bwana-Yesu, Kutamani-Sana, mbinguni-wakati, YohanaNo comments

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie
Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi Wake: "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3)....
Alhamisi, 13 Septemba 2018
Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 13, 2018Bwana-asifiwe, Maisha-ya-Kanisa—Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali, Mateso-ya-Kidini, Mwaka-Mpya, Polisi-Waenda-kwa-ZiaraNo comments

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)
Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa...