Jumanne, 31 Julai 2018
Jumapili, 29 Julai 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tisa
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 29, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tisa
Inaonekana kwamba katika mawazo ya watu, Mungu ni wa fahari sana naye Haeleweki. Ni kana kwamba Mungu haishi miongoni mwa wanadamu, kana kwamba anawadharau watu kwa sababu Yeye ni wa fahari sana.
Jumamosi, 28 Julai 2018
Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 28, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mungu-hutawala-juu-ya-vitu-vyote, Nyimbo, VideoNo comments
Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"
I
Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
unaanza kutenda wajibu wako.
Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako,
na unaanza safari ya maisha.
Vyovyote vilivyo msingi wako ama safari iliyo mbele yako,
hakuna anayeweza kuepuka utaratibu na mpango ambao Mbingu imeweka,
na hakuna aliye na amri juu ya hatima yake,
kwani ni Yule tu anayetawala juu ya vitu vyote ndiye ana uwezo wa kazi kama hii.
II
Tangu siku ambayo mwanadamu alikuja kuwepo
Mungu amekuwa imara katika kazi Yake,
Akisimamia ulimwengu huu na kuelekeza mabadiliko na kusonga kwa vitu vyote.
Kama vitu vyote, mwanadamu kwa kimya na bila kujua anapokea
uboreshaji wa utamu, mvua na umande kutoka kwa Mungu.
Kama vitu vyote, mwanadamu bila kujua anaishi chini ya utaratibu wa mkono wa Mungu.
Moyo na roho ya mwanadamu viko mkononi mwa Mungu,
na maisha yote ya mwanadamu yanatazamwa machoni mwa Mungu.
Bila kujali kama unaamini katika hili ua la,
chochote na vitu vyote, viishivyo au vilivyokufa,
vitageuka, vibadilike, vifanywe upya, na kupotea kulingana na fikira za Mungu.
Hivi ndivyo Mungu hutawala juu ya vitu vyote.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Ijumaa, 27 Julai 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 27, 2018Biblia, hukumu, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, UkweliNo comments
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba
Kwa kweli, maneno yote kutoka katika kinywa cha Mungu ni mambo ambayo wanadamu hawayajui; yote ni lugha ambayo watu hawajasikia, kwa hiyo inaweza kusemwa hivi: Maneno ya Mungu yenyewe ni siri.
Alhamisi, 26 Julai 2018
Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 26, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo-za-injili, Video, ya-Mwenyezi-MunguNo comments
Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
Jumatano, 25 Julai 2018
Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 25, 2018kanisa, Umeme-wa-Mashariki, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Tong Xin Mkoa wa Fujian
Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa.
Jumanne, 24 Julai 2018
Kupitia kwa Majonzi Makuu, Nimevuna Faida Kubwa
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 24, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kupitia-kwa-Majonzi, Umeme-wa-Mashariki, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Baada ya kumfuata Mwenyezi Mungu, niliwekwa katika jela kwa sababu mimi niliamini katika Mungu. Wakati huo nilikuwa muumini mpya na Mungu alikuwa amenipa nguvu ili niweze shikilia msimamo katika ushahidi wangu.
Jumatatu, 23 Julai 2018
Wimbo za wokovu | “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” | Wema wa Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 23, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo-za-wokovu, Umeme-wa-Mashariki, wimbo-wa-KikristoNo comments
I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
Jumapili, 22 Julai 2018
Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 22, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kikristo, Umeme-wa-MasharikiNo comments
Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu" | Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda
Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita usiku, na kusababisha kila aina ya mateso ya kinyama juu yake:
Jumamosi, 21 Julai 2018
Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 21, 2018Kristo, Umeme-wa-Mashariki, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu
Cheng Mingjie Jiji la Xi'an, Mkoa wa Shaanxi
Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi sio aina ya mtu wa kuzungukazunguka. Katika kuingiliana kwangu na watu mimi huwa ni mwaminifu na wazi kiasi.
Ijumaa, 20 Julai 2018
Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 20, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Maombi, Roho-Mtakatifu, Umeme-wa-MasharikiNo comments
Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!
Xiaowei Mji wa Shanghai
Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha.
Alhamisi, 19 Julai 2018
Tamko la Hamsini
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 19, 2018Matamsh-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Tamko la Hamsini
Makanisa yote na watakatifu wote wanapaswa kutafakari kuhusu siku zilizopita na kutumainia siku za usoni: Ni mangapi kati ya matendo yenu ya zamani ndiyo yanayostahili, na ni mangapi kati yao yalishiriki katika ujenzi wa ufalme? Usiwe mtu mwenye kujifanya kujua kila kitu! Unapaswa kuona wazi dosari zako na unafaa kuelewa hali zako mwenyewe. Najua kwamba hakuna yeyote kati yenu yuko tayari kuweka jitihada yoyote na kugharimika muda wowote kuhusu hili, kwa hivyo hamuwezi kupata ujuzi wowote.