
Jumapili, 31 Desemba 2017
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Ni nini uhusiano kati ya Mungu na Biblia?
By Suara TuhanDesemba 31, 2017Biblia, Bwana-Yesu, Dondoo-ya-Filamu, Kazi-ya-Mungu, Video-za-hivi-punde, Video-za-InjiliNo comments


Kwa miaka elfu mbili, tumemwamini Bwana kulingana na Biblia, na wengi wetu sana huamini “Biblia inamwakilisha Bwana, kumwamini Mungu ni kuamini Biblia, kuamini Biblia ni kumwamini Mungu,” Je, mawazo haya ni sahihi? Kumwamini Mungu kunamaanisha nini kwa kweli? Kunamaanisha...
Jumamosi, 30 Desemba 2017
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?
By Suara TuhanDesemba 30, 2017Biblia, Dondoo-ya-Filamu, maneno-ya-Mungu, Video, Video-za-hivi-pundeNo comments


Dunia nzima ya kidini yote huamini kwamba kazi na maneno ya Mungu yote yamo katika Biblia, na kwamba isipokuwa Biblia, hakuna maneno yaliyonenwa na Mungu na kazi Yake. Kwa hiyo, ili mradi uko mwaminifu kwa Biblia, hili litahakikisha kwamba utaweza kuingia ufalme wa mbinguni....
Ijumaa, 29 Desemba 2017
Kiini cha Mwili Ulio na Mungu

Kiini cha Mwili Ulio na Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu mwenye mwili wa kwanza Aliishi duniani kwa miaka thelathini na tatu na nusu, lakini Alitekeleza huduma Yake kwa miaka mitatu na nusu pekee ya hiyo miaka yote. Kipindi Alichofanya kazi na kabla Aanze kazi...
Ngurumo Saba Zatoa Sauti — Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni

Ngurumo Saba Zatoa Sauti — Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni
Mimi Naeneza kazi Yangu katika nchi za Mataifa. Utukufu Wangu unamulika kotekote ulimwenguni; mapenzi Yangu yamo katika mtawanyiko wa wanadamu, wote wakiongozwa kwa mkono Wangu na kufanya...
Alhamisi, 28 Desemba 2017
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu

Baada ya ndugu katika pahali pa mkutano pa kanisa la Mzee wa Kanisa Liu Zhizhong kutupilia mbali pingu za Biblia, walisoma mtandaoni kuhusu kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, walistawishwa kwa maji hai ya maisha, na waliweza...
Jumatano, 27 Desemba 2017
Jinsi ya Kuujua Uhalisi | Umeme wa Mashariki

Jinsi ya Kuujua Uhalisi
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu...
Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”

Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”
Mwenyezi Mungu alisema, Mnayaonaje maono ya Ufalme wa Milenia? Baadhi ya watu hutafakari sana kuuhusu na kusema kuwa Ufalme wa Milenia utadumu duniani kwa miaka elfu moja, hivyo basi ikiwa waumini wazee katika kanisa...
Jumanne, 26 Desemba 2017
Kuhusu Majina na Utambulisho | Umeme wa Mashariki
By Suara TuhanDesemba 26, 2017Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, Unabii, Vitabu, YesuNo comments


Kuhusu Majina na Utambulisho
Mwenyezi Mungu alisema, Iwapo unataka kufaa kwa ajili ya matumizi na Mungu, lazima uijue kazi ya Mungu; lazima uijue kazi Aliyofanya awali (katika Agano Jipya na la Kale), na, zaidi ya hayo, lazima uijue kazi Yake ya leo. Ndiyo kusema,...
Jumatatu, 25 Desemba 2017
Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?
By Suara TuhanDesemba 25, 2017Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuhusu-Sisi, Maswali-Yanayoulizwa-Mara-Nyingi, Mwenyezi-MunguNo comments


Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?
Kama makanisa ya Ukristo, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwepo kwa sababu ya kazi ya Mungu kupata mwili. Makanisa ya Ukristo yalipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Bwana Yesu aliyepata mwili, na Kanisa la Mwenyezi...
Jumapili, 24 Desemba 2017
Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?
By Suara TuhanDesemba 24, 2017Bwana-Yesu, Kuhusu-Sisi, Maswali-Yanayoulizwa-Mara-Nyingi, Mwenyezi-Mungu, UfalmeNo comments


Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?
Watu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumu katika siku za ...
Jumamosi, 23 Desemba 2017
Ufalme wa Milenia Umewasili | Matamshi ya Mwenyezi Mungu

Ufalme wa Milenia Umewasili | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Je, mmeona kazi ambayo Mungu ataikamilisha katika kundi hili la watu? Mungu alisema, hata katika Ufalme wa Milenia watu ni lazima waendelee kufuata matamshi Yake, na katika maisha ya baadaye, matamshi ya Mungu...
Ijumaa, 22 Desemba 2017
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Kristo ndiye Chanzo cha Uhai na Vile Vile Bwana wa Biblia

Kristo ndiye Chanzo cha Uhai na Vile Vile Bwana wa Biblia
Biblia imejaa maneno ya Mungu na vile vile uzoefu na ushuhuda kutoka kwa mwanadamu ambao unaweza kutupa uhai na ni yenye manufaa sana kwetu. Bwana Yesu alisema, “Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima: Yeye aniaminiye...
Alhamisi, 21 Desemba 2017
Mtu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu

Mtu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Binadamu amekuwa akiishi katika funiko la ushawishi wa giza, huku akiwa amezuiliwa bila ya kuwachiliwa na ushawishi wa Shetani. Nayo tabia ya binadamu, baada ya kutengenezwa na Shetani, inaendelea kuongezeka...
Jumatano, 20 Desemba 2017
Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu
By Suara TuhanDesemba 20, 2017imani-katika-Mungu, Kumtii-Mungu, Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa nini unamwamini Mungu? Watu wengi wanafadhaishwa na swali hili. Siku zote wana mitazamo tofauti kuhusu Mungu wa vitendo na Mungu wa mbinguni, jambo linaloonyesha kwamba wanamwamini Mungu...
Jumanne, 19 Desemba 2017
Kuijua Kazi ya Mungu Leo | Umeme wa Mashariki

Kuijua Kazi ya Mungu Leo | Maneno ya Mwenyezi Mungu
Kuijua kazi ya Mungu katika nyakati hizi, kwa sehemu kubwa, ni kumjua Mungu katika mwili wa siku za mwisho, kile ambacho ni huduma Yake kuu, na kile ambacho Amekuja kufanya duniani. Hapo mwanzoni Nimesema katika...
Jumatatu, 18 Desemba 2017
Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song
By Suara TuhanDesemba 18, 2017Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Mungu, Mungu-ni-upendo, Nyimbo-za-injili, VideoNo comments


Mungu ni upendo | Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki
vinakua ulimwenguni kote,
ikitukuka sana kati ya wanadamu wote.
Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza.
Ni nani asiyesherehekea? Ni...
Jumapili, 17 Desemba 2017
Kutanafusi kwa Mwenye Uweza | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 17, 2017Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments


Kutanafusi kwa Mwenye Uweza
Kunayo siri kubwa moyoni mwako. Huifahamu kamwe kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu usio na mwanga unaoangaza. Moyo wako na roho yako vimechukuliwa mateka na yule mwovu. Macho yako yamefunikwa na giza; huwezi kuliona jua angani, wala...
Jumamosi, 16 Desemba 2017
Unapaswa Kuishi Kwa Ajili Ya Ukweli Kwa Maana Unamwamini Mungu
By Suara TuhanDesemba 16, 2017kutenda-ukweli, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments


Unapaswa Kuishi Kwa Ajili Ya Ukweli Kwa Maana Unamwamini Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Tatizo la kawaida lililo miongoni mwa binadamu wote ni kwamba wao huuelewa ukweli lakini hawawezi kuuweka katika matendo. Sababu moja ni kwamba binadamu hana nia ya kulipa gharama,...
Ijumaa, 15 Desemba 2017
Ni Wale Tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu
By Suara TuhanDesemba 15, 2017Kazi-ya-Mungu, Kumhudumia Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Ni Wale Tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Ili uwe na ushuhuda kwa Mungu na kuliaibisha joka jekundu ni sharti uwe na kanuni, na sharti: Katika moyo wako ni lazima umpende Mungu na uingie katika maneno ya Mungu. Kama...
Alhamisi, 14 Desemba 2017
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 14, 2017maisha, Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments


Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi...
Jumatano, 13 Desemba 2017
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
By Suara TuhanDesemba 13, 2017Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali kilichoandaliwa juu yenu, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—haina maana. Ilhali kulingana na hali...
Jumanne, 12 Desemba 2017
Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali...
Jumatatu, 11 Desemba 2017
Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua...
Jumapili, 10 Desemba 2017
Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China
By Suara TuhanDesemba 10, 2017Mateso-ya-Kidini, Nyendo, Video, Video za Kikristo, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, WakristoNo comments


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China,...
Jumamosi, 9 Desemba 2017
Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 09, 2017Enzi-ya-Ufalme, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi...
Ijumaa, 8 Desemba 2017
Maana ya Mwanaadamu Halisi | Umeme wa Mashariki

Maana ya “Mwanaadamu Halisi”
Mwenyezi Mungu alisema, Kumsimamia mwanadamu ndio Kazi Yangu, na ushindi Wangu dhidi yake ulikuwa hata umeshaamuliwa kabla zaidi Nilipoiumba dunia. Watu hawajui kwamba Nitashinda kabisa katika siku za mwisho, na pia hawajui kwamba ushahidi...
Alhamisi, 7 Desemba 2017
Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa "Kwaya ya Injili ya Kichina 13"
By Suara TuhanDesemba 07, 2017Kwaya-za-Injili, Mungu, Ngoma za Sifa, Tamthilia ya Jukwaa, VideoNo comments


1. WANADAMU WAMEUPATA TENA UTAKATIFU WAO WALIOKUWA NAO AWALI
La … la … la … la …
Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo....
Jumatano, 6 Desemba 2017
Ufahamu wa Kuokolewa | Umeme wa Mashariki

23. Ufahamu wa Kuokolewa
Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong
Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisan...
Jumanne, 5 Desemba 2017
Kurudi kwa Mwana Mpotevu | Umeme wa Mashariki

4. Kurudi kwa Mwana Mpotevu
Wang Xin Mjini Harbin
Katika mwaka wa 1999, nilikuwa kiongozi kutokana na mahitaji ya kazi ya kanisa. Ingawa nilijisikia sana kwamba sikustahili hiyo kazi wakati kwanza nilipoanza, baada ya muda, kutokana na asili yangu ya kiburi na ya kujidai,...
Jumatatu, 4 Desemba 2017
Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu
By Suara TuhanDesemba 04, 2017Bwana-asifiwe, Nyimbo, Nyimbo-za-Uzoefu-wa-Maisha, Upendo-wa-MunguNo comments


Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu
I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa,...