Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumamosi, 31 Machi 2018

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa Wenzhong , Beijing Agosti 11, mwaka wa 2012 Usiku wa Julai 21, mwaka wa 2012, tulikuwa na mafuriko makubwa hapa, ambayo hutokea kwa nadra. Ningependa kumwambia kila mtu aliye na kiu ya Mungu kile nilichokipitia kwa kweli na kukiona wakati...

Ijumaa, 30 Machi 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I 3) Mungu Atumia Upinde wa Mvua Kama Ishara ya Agano Lake na mwanadamu. Mwa 9:11-13 Na nitaweka agano langu na ninyi, wala miili yote haitaondolewa tena na maji ya gharika; wala hakutakuwa na gharika tena kuiharibu...

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana Utambulisho Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa...

Alhamisi, 29 Machi 2018

Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu

Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu Mwenyezi Mungu alisema, Kila mtu anahisi kuwa usimamizi wa Mungu ni wa ajabu, kwa sababu watu wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu hauna uhusiano wowote na mwanadamu. Wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu ni kazi...

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala Nyinyi hamtilii maanani sala katika maisha yenu ya kila siku. Watu daima wamepuuza sala. Katika sala zao hapo awali walikuwa wakifanya tu mambo kwa namna isiyo ya dhati na kufanya mchezo tu, na hakuna mtu aliyeupeana moyo wake...

Jumatano, 28 Machi 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I) Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa...

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2) Mlikuwa mnatafuta kutawala kama wafalme, na leo bado hamjaacha kabisa suala hili; bado mnatamani kutawala kama wafalme, kushikilia mbingu na kuhimili dunia. Sasa, fikiria kuhusu hilo: Je, unazo sifa kama hizo? Je, huoni unakuwa mtu...

Jumanne, 27 Machi 2018

Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo

5. Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo Fang Xin, Beijing Agosti 15, mwaka wa 2012 Tangu mwaka wa 2007, nilipoikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, ingawa nimeonekana juu juu kuwa na kazi nyingi sana kutekeleza majukumu yangu, sijaupa moyo wangu...

Umeme wa Mashariki | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa

Umeme wa Mashariki | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa Mwenyezi Mungu alisema, Nimewatafuta wengi duniani wawe wafuasi Wangu. Kati yao ni wale wanaohudumu kama makuhani, wanaoongoza, wanaojumuisha wana, wanaojumuisha watu, na wale wanaotoa huduma. Ninaweka migawo...

Jumatatu, 26 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Tano

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Tano Mwenyezi Mungu alisema, Mungu anapoweka mahitaji kwa wanadamu ambayo ni magumu kwao kueleza, na maneno Yake yanapogonga moja kwa moja katika moyo wa mwanadamu na watu wanatoa mioyo ya dhati ili Afurahie, basi Mungu huwapa...

Umeme wa Mashariki | Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisay

Umeme wa Mashariki | Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisay Suxing Mkoa wa Shanxi Mimi ni mtu mwenye kiburi na majivuno, na cheo kimekuwa udhaifu wangu. Kwa miaka mingi, nimefungwa na sifa na cheo na sijaweza kujiweka huru kutoka kwazo. Mara kwa mara nimepandishwa cheo...

Jumapili, 25 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Umeme wa Mashariki | Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu Xiangwang Mkoa wa Sichuan Ninahisi kuadibiwa sana moyoni mwangu kila mara ninapoona kwamba maneno ya Mungu yanasema: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania...

Jumamosi, 24 Machi 2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (4) - Jifungue Kutoka kwa Utumwa wa Mafarisayo wa Kidini na Kurudi Kwa Mungu

"Vunja Pingu na Ukimbie" (4) - Jifungue Kutoka kwa Utumwa wa Mafarisayo wa Kidini na Kurudi Kwa Mungu Katika jumuiya ya kidini, wachungaji wanajua Biblia kwa kina na mara nyingi huelezea vifungu kutoka kwa Biblia kwa watu. Kutoka kwa macho yetu, inaonekana kuwa wote...

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana Watu wengi ambao wana imani katika Bwana huhisi kwamba maneno na kazi ya Mungu vyote viko katika Biblia, kwamba wokovu wa Mungu kama ulivyoelezewa katika Biblia...

Ijumaa, 23 Machi 2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu? Kama watu wengi wa kidini wenye imani katika Bwana, Mzee Li daima amehisi kwamba "kila kitu kilicho katika Biblia kilitiwa msukumo na Mungu," "Biblia ni neno la Mungu," na "Biblia humwakilisha...

Umeme wa Mashariki | "Vunja Pingu na Ukimbie" (1) - Legeza Pingu na Ujifunze Njia ya Kweli

Umeme wa Mashariki | "Vunja Pingu na Ukimbie" (1) - Legeza Pingu na Ujifunze Njia ya Kweli Mzee wa kanisa Li, kutokana na imani pofu katika maneno ya wachungaji wa kidini, alihisi kwamba kazi na maneno yote ya Mungu yaliandikwa katika Biblia na kwamba chochote nje ya...

Alhamisi, 22 Machi 2018

Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa

Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa Mwenyezi Mungu alisema, Kazi neno la Mungu vina maana ya kuleta mabadiliko katika tabia zenu; lengo Lake si kuwafanya tu kulielewa au kulitambua na kufanya hilo kuwa mwisho wa jambo hilo. Kama mmoja wa uwezo wa kupokea, hampaswi kuwa na...

Jumatano, 21 Machi 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII Hadithi ya 2. Mlima Mkubwa, Kijito Kidogo, Upepo Mkali, na Wimbi Kubwa  Mwenyezi Mungu alisema, Kulikuwa na kijito kidogo kilichotiririka kwa kuzungukazunguka, hatimaye kikawasili chini ya mlima mkubwa. Mlima ulikuwa unazuia njia ya kijito hiki, hivyo kijito kikauomba mlima kwa sauti yake dhaifu...

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (I) Mwenyezi Mungu alisema, Leo Nitashiriki nawe mada mpya. Mada itakuwa ni nini? Kichwa cha mada kitakuwa “Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote.” Je, hii siyo mada kubwa kidogo kuweza kuijadili? Je, inaonekana kama kitu ambacho kidogo hakiwezi kufikika? Mungu kuwa...

Jumanne, 20 Machi 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Jinsi Mungu Anavyotawala na Kuongoza Ulimwengu wa Kiroho Mwenyezi Mungu alisema, Kwa ulimwengu yakinifu, watu wakikosa kuelewa vitu au jambo fulani, wanaweza kutafuta taarifa mwafaka, vinginevyo wanaweza kutumia njia mbalimbali kubaini asili ya habari kuvihusu. Lakini inapokuja kwa ulimwengu huu mwingine...

Jumatatu, 19 Machi 2018

Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana

Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana Mwenyezi Mungu alisema, rahisi kwa vijana kuendeleza kazi; wengi wao hawadumishi mwendo. Ni lazima moyo wako uwe mtulivu, lazima uweze kudumisha mwendo na uwe tayari kutumia muda kwake. Wengine hujiburudisha...

Umeme wa Mashariki | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”

Umeme wa Mashariki | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe” Kwa maelfu kadhaa ya miaka, mwanadamu ametamani kuweza kushuhudia kufika kwa Mwokozi. Mwanadamu ametamani kumtazama Yesu Mwokozi katika wingu jeupe Anaposhuka, yeye binafsi, kati ya wale ambao wamengoja...