Jumatatu, 12 Februari 2018
Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu
By UnknownFebruari 12, 2018Hukumu-na-Kuadibu, kukamilishwa-na-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu alisema, Alipokuwa akiadibiwa na Mungu, Petro aliomba, “Ee Mungu! Mwili wangu ni mkaidi, na unaniadibu na kunihukumu mimi. Nafurahi katika adabu Yako na hukumu, na hata kama Hunitaki mimi, katika hukumu Yako mimi ninaona tabia Yako takatifu na tabia Yako ya haki. Unaponihukumu, ili wengine wapate kuiona hali Yako ya haki katika hukumu Yako, ninaridhika. Iwapo hukumu Yako itaonyesha tabia Yako, na kuruhusu tabia Yako ya haki kuonekana na viumbe wote, na iwapo inaweza kufanya upendo wangu Kwako uwe safi zaidi, ili niweze kufikia mfano wa mwenye haki, basi hukumu Yako ni nzuri, kwa maana hivyo ndivyo mapenzi Yako ya neema yalivyo.
Jumapili, 11 Februari 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?
Je, unaweza kuonyesha tabia ya Mungu ya nyakati kwa lugha inayofaa iliyo na umuhimu wa nyakati? Kupitia uzoefu wako wa kazi ya Mungu, unaweza kueleza kwa undani tabia ya Mungu? Utaielezaje vizuri, kikamilifu? Ili kupitia haya, watu wengine wapate kufahamu uzoefu wako. Utawezaje kupitisha uliyoyaona na kupitia kwa maskini hawa wa kuhurumiwa, na waumini wa kidini wa kumcha Mungu waliojitolea na waliojawa na njaa na kiu cha haki na wanaongoja uwe mchungaji wao?
Jumamosi, 10 Februari 2018
Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo
Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo
Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. … Huku akianguka kutoka kwa rehema na kutembea katika njia ya upotovu, alikanyagwa na ulimwengu na kukung’utwa na makovu na vilio. Alikuwa amefika mwisho kabisa, na katika wakati wa kukata tamaa wakati alikuwa amepoteza matumaini yote, mwishowe mwito wa kuaminika wa Mwenyezi Mungu ukauamsha moyo na roho ya Xiaozhen …
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Ijumaa, 9 Februari 2018
Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu
Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu
Tangu alipokuwa mdogo, Novo alimwamini Bwana Yesu, kama mama yake tu. Hata kama alisoma Biblia, kuomba, na kuhudhuria mahubiri mara kwa mara, mara nyingi hangeweza kujizuia bali kufuata mielekeo mibaya ya dunia, kutamani raha za mwili, na kudanganya na kusema uwongo…. Alikusudia mara nyingi kuyaacha maisha ya aina hiyo ya kuzunguka katika kutenda dhambi na kukiri, kukiri na kutenda dhambi. Hata hivyo, kila wakati hakufaulu. Baadaye Novo alipokuwa akifanya kazi nchini Taiwan alisikia injili ya ufalme, na kwa kuyasoma maneno Yake Mwenyezi Mungu alifikia hitimisho kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu, na kuwa kazi Yake ya hukumu na utakaso katika siku za mwisho ina uwezo wa kusuluhisha kikamilifu tatizo la asili ya mwanadamu ya dhambi. Hivyo, alikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho kwa moyo uliojaa furaha. Miaka miwili baada ya hayo, Novo alirudi nchini Ufilipino na kuanza kutekeleza wajibu wake katika Kanisa la Mwenyezi Mungu. Alipata lengo na mwelekeo wake katika maisha, na kutoka wakati huo na kuendelea moyo wake uliopotea mwishowe ukaja nyumbani.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Umeme wa Mashariki | Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana
By UnknownFebruari 09, 2018kukamilishwa-na-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, tabia-ya-Mungu, Ukweli, ushindi, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kweli, kazi inayofanywa sasa ni kuwafanya watu kumtoroka Shetani, kutoroka babu zao wa kale. Hukumu zote kwa neno zinalenga kufichua tabia potovu ya binadamu na kuwawezesha watu kuelewa kiini cha maisha. Hukumu hizi zote zilizorudiwa zinapenyeza mioyo ya watu. Kila hukumu inaathiri kwa njia ya moja kwa moja hatima yao na inalenga kujeruhi mioyo yao ili waweze kuachilia yale mambo hayo yote na hivyo basi kuja kujua maisha, kuujua ulimwengu huu mchafu, na pia kujua hekima ya Mungu na uweza Wake na kujua mwanadamu huyu aliyepotoshwa na Shetani.
Alhamisi, 8 Februari 2018
Neno la Mungu | "Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?" (Official Video)
By UnknownFebruari 08, 2018kuja-kwa-mara-ya-pili, kumfuata-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ukamilifu, ushindi, VitabuNo comments
Neno la Mungu | "Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?" (Official Video)
Mwenyezi Mungu alisema, Kama mtu anayemwamini Mungu, inakupasa kuelewa kuwa, leo, katika kupokea kazi ya Mungu nyakati za mwisho na kazi yote ya mpango wa Mungu ndani yako, umepokea utukufu mkuu na wokovu wa Mungu kabisa. Kazi yote ya Mungu ulimwengu mzima imelenga watu wa kikundi hiki. Amejitolea kwa nguvu Zake zote na kutoa vyote kwa ajili yako; Amekurejesha na kukupa kazi yote ya Roho ulimwenguni kote.
Umeme wa Mashariki | Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku
By UnknownFebruari 08, 2018Hukumu-na-Kuadibu, imani-ya-kidini, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, tabia-ya-Mungu, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku
Mwenyezi Mungu alisema, Tangu mwanzo wa kazi Yake katika ulimwengu mzima, Mungu ameamulia kabla watu wengi kumhudumia Yeye, wakiwemo watu kutoka kila nyanja ya maisha. Kusudio Lake ni kutimiza mapenzi Yake Mwenyewe na kuhakikisha kwamba kazi Yake hapa ulimwenguni imetimia. Hili ndilo kusudio la Mungu katika kuwachagua watu wa kumhudumia Yeye. Kila mtu anayehudumia Mungu lazima aelewe mapenzi haya ya Mungu.
Jumatano, 7 Februari 2018
Umeme wa Mashariki | Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa
Umeme wa Mashariki | Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa
Mwenyezi Mungu alisema, Ni njia gani ambayo Mungu hutumia kumkamilisha mwanadamu? Ni vipengele vipi vinavyojumuishwa? Je, uko tayari kukamilishwa na Mungu?
Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
By UnknownFebruari 07, 2018hukumu, kumwabudu-Mungu, Mkristo, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
Mwenyezi Mungu alisema, Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wa sisi wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu ya ukuu wa Mungu.
Jumatatu, 5 Februari 2018
Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?
By UnknownFebruari 05, 2018kupata-mwili, msalaba, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments
Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu inaendelea kusonga mbele, na ingawa madhumuni ya kazi Yake bado hayajabadilika, njia anazozitumia kufanya kazi zinabadilika mara kwa mara, na hivyo pia wale wanaomfuata Mungu.
Jumapili, 4 Februari 2018
Swahili Gospel Video "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"
Swahili Gospel Video "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"
Wakati mmoja, serikali ya Kikomunisti ya Uchina iliwakamata Wakristo wengi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu kutoka mahali fulani usiku wa manane. Jambo hili lilisababisha ghasia kubwa mahali hapo. Lilichochea majadiliano miongoni mwa washirika wa Kanisa la Nafsi Tatu. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki umepitia ukandamizaji na mateso ya kikatili ya serikali ya kikomunisti ya Uchina.Ni hatari sana kuamini katika Umeme wa Mashariki, na ni salama sana kuamini katika Kanisa la Nafsi Tatu. Hawatapitia taabu na wataweza kuingia katika ufalme wa mbinguni. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli hasa, lakini mateso na kukamatwa ambayo wanapitia ni makali mno. Mara serikali ya Kikomunisti ya Uchina ikianguka, wanaweza kuamini kaitka Mwenyezi MuKama wangetakiwa kuamini, walifikiri kwamba ni heri kuamini kisiri. ngu waziwazi. Watu wengine walikuwa wemachunguza Umeme wa Mashariki lakini, waliamini kwamba Umeme wa Mashariki unaeneza injili na unashuhudia kwa Bwana bila kujali maisha au kifo na kwamba wanasifiwa na Mungu. Walidhani kwamba watu ambao hujificha ndani ya Kanisa la Nafsi Tatu ni watu waoga ambao wanafuata mkondo maishani bila kusudi na kwamba hawastahili kuingia katika ufalme wa mbinguni. … Baada ya majadiliano haya makali, je, kila mtu aliweza kujua ni aina gani ya watu wanasifiwa na Bwana na kama waoga wanaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni?
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Umeme wa Mashariki | Unapaswaje Kuitembea Hatua ya Mwisho ya Njia?
By UnknownFebruari 04, 2018kumfuata-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, uaminifu, ukamilifu, ushindi, VitabuNo comments
Unapaswaje Kuitembea Hatua ya Mwisho ya Njia?
Sasa mko kwenye hatua ya mwisho ya njia, na hii ni sehemu muhimu. Labda umevumilia mateso mengi kabisa, umefanya kazi nyingi, umetembea barabara nyingi, na umesikiliza mahubiri mengi, na haijakuwa rahisi kufika hadi sasa.