Jumamosi, 12 Januari 2019
nyimbo za injili | Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?
By UnknownJanuari 12, 2019dutu-ya-Mungu, Kristo-ndiye-ukweli, Kristo-ndiye-ukweli-njia-na-uzima, kupata-mwili, njia, Nyimbo-za-Neno-la-MunguNo comments

Nyimbo za Injili | Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?
I
Mwili wa Mungu utajumlisha
kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili,
Ataleta
matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
Mwili wowote usiokuwa na dutu
Yake sio Mwili wa Mung...
Ijumaa, 11 Januari 2019
Matamshi ya Mungu | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu II Sehemu ya Kwanza"
By UnknownJanuari 11, 2019Kumjua-Mungu, maneno-ya-Mungu, Muumba, Utongoaji-wa-Matamshi-ya-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu II Sehemu ya Kwanza"
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Kuelewa Mamlaka ya Mungu Kutoka kwa Mitazamo Mikubwa na Midogo
Hatima ya Binadamu na Hatima ya Ulimwengu Haviwezi Kutenganishwa na Ukuu wa Muumba Umeme...
Alhamisi, 10 Januari 2019
Umeme wa Mashariki | Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (II) Sehemu ya Pili
By UnknownJanuari 10, 2019makusudi-ya-Mungu, Matamshi-ya-Kristo, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu (Njia-ya-Kumjua-Mungu), MuumbaNo comments


Umeme wa Mashariki | Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (II) Sehemu ya Pili
Mazingira ya Kuishi ya Msingi Ambayo Mungu Anawaumbia Wanadamu
3. Sauti
Kitu cha tatu ni nini? Ni kitu ambacho mazingira ya kuishi ya kawaida ya wanadamu yanatakiwa kuwa...
Jumatano, 9 Januari 2019
Umeme wa Mashariki | Tabia ya Haki ya Mungu Sehemu ya Tano
By UnknownJanuari 09, 2019Kumjua-Mungu, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu (Njia-ya-Kumjua-Mungu), tabia-ya-Mungu, wafuasi-wa-KristoNo comments


Umeme wa Mashariki | Tabia ya Haki ya Mungu Sehemu ya Tano
Aina Tano za Watu
Kwa sasa, Nitaacha ushirika wetu kuhusu tabia ya haki ya Mungu umalizikie hapo. Kinachofuata Nitaainisha wafuasi wa Mungu katika kategoria mbalimbali, kulingana na ufahamu wao wa Mungu...
Jumanne, 8 Januari 2019
Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"
Umeme wa Mashariki | Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"
Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu.
Kila siku ya maisha yetu sio bure.
Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na...
Jumatatu, 7 Januari 2019
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (4) - Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu?
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (4) - Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu?
Miaka elfu mbili iliyopita, Mungu alipopata mwili kama Bwana Yesu na kuja miongoni mwa wanadamu kuwakomboa binadamu Alikataliwa katika enzi ya giza, hatimaye kusulubiwa msalabani na binadamu waovu wenye upotov...
Jumapili, 6 Januari 2019
5. Imani Katika Mungu Haipasi Kuwa kwa ajili ya Kutafuta Amani na Baraka Pekee.
By UnknownJanuari 06, 2019imani-katika-Mungu, Kondoo-wa-Mungu-Huisikia-Sauti-ya-Mungu, Maombi, Neema, Vitabu, WokovuNo comments

Sura ya 7 Vipengele Kadhaa Vingine vya Ukweli Ambao ni wa Kiwango cha Chini Ambao Unafaa Kueleweka na Waumini Wapya
5. Imani Katika Mungu Haipasi Kuwa kwa ajili ya Kutafuta Amani na Baraka Pekee.
Maneno Husika ya Mungu:
Leo, lazima uwe katika njia sahihi kwani unaamini katika Mungu wa vitendo. Kwa kuwa una imani katika Mungu, hupaswi tu...
Jumamosi, 5 Januari 2019
3. Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo?
By UnknownJanuari 05, 2019Kondoo-wa-Mungu-Huisikia-Sauti-ya-Mungu, Kristo, Roho-Mtakatifu, siku-za-mwisho, Vitabu, YesuNo comments


Sura ya 6 Aina Mbalimbali za Utofautishaji Ambazo Unafaa Kumiliki katika Kusadiki Kwako kwa Mungu
3. Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo?
Maneno Husika ya Mwenyezi Mungu:
Mungu aliyepata mwili Anaitwa Kristo, na hivyo Kristo...
Ijumaa, 4 Januari 2019
Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?
By UnknownJanuari 04, 2019Christian-Video, Injili, Ukweli, Upendo-wa-Mungu, ushuhuda, VideoNo comments

Umeme wa Mashariki | Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?
Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya...
Alhamisi, 3 Januari 2019
Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu
Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu
Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake...
Jumatano, 2 Januari 2019
4. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Majaribio na Utakasaji.
By UnknownJanuari 02, 2019Kondoo-wa-Mungu-Huisikia-Sauti-ya-Mungu, Mungu, Nyimbo, siku-za-mwisho, Ukweli, Usafishaji, VitabuNo comments


Sura ya 4 Lazima Mjue Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho
4. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Majaribio na Utakasaji.
Maneno Husika ya Mungu:
Majaribu haya yanailenga hali gani ya ndani ya watu? Yanalenga tabia ya uasi ndani ya watu ambayo haiwezi kumridhisha...
Jumanne, 1 Januari 2019
Neno la Mungu | "Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi" (Official Video)
Neno la Mungu | "Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi" (Official Video)
Mwenyezi Mungu anasema, "Hata hivyo unapaswa kujua, wanadamu Nilioumba walikuwa watu watakatifu na wenye mfano Wangu na utukufu Wangu. Hapo awali hawakuwa wa Shetani, wala hawakukabiliwa na kukanyagwa kwake, bali walikuwa tu udhihirisho Wangu, walikuwa huru kutokana...