
Alhamisi, 31 Januari 2019
Kanisa la Mwenyezi Mung|7. Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka

Kanisa la Mwenyezi Mung | 7. Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka
Baixue Mji wa Shenyang
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi, nilihamishiwa hadi sehemu nyingine ya kazi. Wakati huo, nilikuwa na shukurani sana kwa Mungu. Nilihisi kwamba nilikuwa ninapungukiwa sana, lakini...
Jumatano, 30 Januari 2019
2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)
2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)
Kutoka wakati tunapoingia ulimwenguni tukilia kwa huzuni, sisi huanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa hadi ugonjwa hadi uzee hadi kifo; sisi huenda kati ya furaha na huzuni…. Wnadamu hasa hutoka wapi, na kwa kweli...
Jumanne, 29 Januari 2019
Filamu za Injili | "Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho
Filamu za lnjili | "Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho
Watu wengi wanaamini kwamba tayari dhambi zetu zimesamehewa na kupata wokovu kwa sababu tulitangaza imani yetu kwa Bwana, basi kwa nini Bwana anakuja kutuchukua moja kwa moja hadi kwenye ufalme wa mbinguni?...
Jumatatu, 28 Januari 2019
nyimbo za kuabudu 2019 | "Mungu Anashuka na Hukumu" | Christ of the Last Days Has Appeared
Nyimbo za Kuabudu 2019 | "Mungu Anashuka na Hukumu" | Christ of the Last Days Has Appeared
Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,
Mungu anageuka kuutazama ulimwengu na unaanza kutingika.
Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?
Ama kuishi katika janga Analotoa?
Kila mahali Aendapo anamwaga mbegu ya janga,
lakini kupitia...
Jumapili, 27 Januari 2019
Nyimbo za Dini | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu
Nyimbo za Dini | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu
I
Kupitia neno la Mungu la utendaji,
unyonge wa mwanadamu na uasi
yanahukumiwa na kufichuliwa.
Kisha wanadamu wanapokea wanachohitaji
Wanaona kuwa Mungu amekuja
katika ulimwengu huu wa binadam...
Jumamosi, 26 Januari 2019
Nyimbo za Dini | Umuhumi wa Maombi
Nyimbo za Dini | Umuhumi wa Maombi
I
Maombi ni njia moja ya mwanadamu kushirikiana na Mungu,
kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi,
kuangaziwa na kuwa mwenye nguvu-nia.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi,
kuangaziwa...
Ijumaa, 25 Januari 2019
Wimbo wa Maneno ya Mungu Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu
Wimbo wa Maneno ya Mungu Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu
I
Mungu aliumba vitu vyote,
na hivyo Yeye hufanya viumbe vyote
kuja chini ya amri Yake, na kutii utawala Wake.
Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake.
Vitu hai, milima, mito na mwanadamu
lazima vyote vije chini ya amri Yak...
Alhamisi, 24 Januari 2019
Ushuhuda wa Washindi | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe
By UnknownJanuari 24, 2019CCP, imani-ya-kidini, Maombi, Mateso, Ushuhuda-wa-Washindi, Vitabu, Wakristo-ushuhudaNo comments


Ushuhuda wa Washindi | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe
Dong Mei, Mkoa wa Henan
Mimi ni mtu wa kawaida. Niliishi maisha ya kawaida. Kama wengi wanaotamani sana mwanga, nilijaribu njia nyingi kutafuta maana ya kweli ya uwepo wa wanadamu, nikijaribu kuyapa...
Jumatano, 23 Januari 2019
Ushuhuda wa Washindi | 1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi
By UnknownJanuari 23, 2019Kutoroka-Kutoka-kwa-Ushawishi-wa-Shetani, mtegemee-Mungu, Ushahidi-wa-Wokovu, Ushuhuda-wa-Washindi, Vitabu, WashindiNo comments


Ushuhuda wa Washindi | 1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi
Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu
Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho...
Jumanne, 22 Januari 2019
uzoefu wa maisha | 8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo
By UnknownJanuari 22, 2019Maombi, Neno-la-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments


uzoefu wa maisha | 8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo
Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi
Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia...
Jumapili, 20 Januari 2019
2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
By UnknownJanuari 20, 2019Hukumu-na-Kuadibu, maneno-ya-Mungu, Ukweli, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Vitabu, wokovu-wa-MunguNo comments


2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina...
Jumamosi, 19 Januari 2019
Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Tano
By UnknownJanuari 19, 2019Matamshi-ya-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho-(Chaguzi), Neno-la-Mungu, Tafuta-Ufalme-wa-Mungu-KwanzaNo comments


Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Tano
Muda unapita, na kufumba na kufumbua leo imefika. Chini ya uongozi wa Roho Wangu, watu wote wanaishi katikati ya mwanga Wangu, na hakuna anayefikiria yaliyopita ama kuiwekea jana maanani. Nani...