Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumapili, 30 Septemba 2018

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti. I Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la, Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya. Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la, kazi...

Jumamosi, 29 Septemba 2018

Ulimwengu wote ni Mpya Kabisa katika Utukufu wa Mungu

Ulimwengu wote ni Mpya Kabisa katika Utukufu wa Mungu Ⅰ Katika ufalme Wake, maneno ya Mungu hutoka. Naye hutembea kila mahali duniani. Naye amefanikiwa juu ya maeneo yote ya duniani, juu ya nchi yote iliyo najisi na yenye uchafu. Sio mbingu tu bali dunia inabadilika. Na...

Ijumaa, 28 Septemba 2018

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting Kwa sasa, mateso ya Wakristo ya serikali inayomkana Mungu ya CCP yanaongezeka kila siku. Waumini wanakabiliwa na kizuizi kwa kutenda imani yao mara kwa mara; hata hawawezi kupata pahali pa kukutana kwa amani. Bila chaguo jingine, Liu Xiumin anaweza...

Alhamisi, 27 Septemba 2018

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang     Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo...

Jumatano, 26 Septemba 2018

Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God

Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu. Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia. Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati, kila hatua ya mwanadamu, kila kitu...

Jumanne, 25 Septemba 2018

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles) Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana, wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni. Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi...

Jumatatu, 24 Septemba 2018

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles) Ili kuondoa imani za dini, serikali ya CCP ambayo inakana Mungu mara kwa mara inatumia mikakati ya kuchunguza Wakristo kama vile kuendesha uchunguzi wa siri na kufuatilia ili kuwafutilia mbali wote. Kichekesho cha Njama za Polisi kinahusu ushirikiano wa maafisa waovu wa CCP katika...

Jumapili, 23 Septemba 2018

Utajiri wa Maisha

Utajiri wa Maisha Wang Jun Mkoa wa Shandong Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na...

Jumamosi, 22 Septemba 2018

Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace

Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace Jua la haki linainuka Mashariki. Ee Mungu! Utukufu Wako unajaza mbingu na dunia. Mpendwa wangu, upendo Wako unauzunguka moyo wangu. Wale wanaotafuta ukweli—wanampenda Mungu, kila mmoja. Asubuhi na mapema, ingawa naamka peke yangu, furaha...

Alhamisi, 20 Septemba 2018

Swahili Movie Clip: Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu

Swahili Movie Clip: Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu Je, unataka kujua jinsi Mungu alivyouumba ulimwengu? Je, unataka kujua jinsi Mungu amewaongoza wanadamu hatua kwa hatua hadi leo? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", imerekodi kazi ya Mungu...

Jumatano, 19 Septemba 2018

Mapambano ya Kufa na Kupona

Mapambano ya Kufa na Kupona Chang Moyang Mjini Zhengzhou, Mkoani Henan "Unapoutelekeza mwili, bila shaka kutakuwa na mapambano ndani. Shetani anataka ufuate dhana za mwili, kulinda maslahi ya mwili. Hata hivyo, neno la Mungu bado linakupa nuru na kukuangaza ndani,...

Jumanne, 18 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man

Wimbo wa Maneno ya Mungu| "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho. Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja, yote...

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu

Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu Wenwen Mji wa Changchun, Mkoa wa Jilin Kwa maoni yangu, daima nililidhani kwamba mradi matendo ya nje yalionekana ya kufaa ambapo watu hawangeweza kuona upotovu wowote, basi lilichukuliwa kuwa mabadiliko. Kwa hiyo, nilizingatia...

Jumapili, 16 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi Waumini wengi ndani ya Bwana wameusoma unabii ufuatao wa kibiblia: "Wao watamwona yule Mwana wa Adamu akifika kwa mawingu ya mbinguni akiwa na nguvu na utukufu mkubwa" (Mathayo 24:30). Wanasadiki kwamba wakati Bwana atakaporudi, ni yakini kwamba Atashuka akiwa...

Jumamosi, 15 Septemba 2018

Ni Upendo wa Mungu Tu Ulio Halisi

Ni Upendo wa Mungu Tu Ulio Halisi Xiaodong Mkoa wa Sichuan Mungu alisema, “Taifa la China ambalo limepotoshwa kwa miaka elfu nyingi limeendelea mpaka leo. Kila aina ya virusi vinaendelea kutanuka na vinasambaa kila mahali kama taun...

Ijumaa, 14 Septemba 2018

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi Wake: "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3)....

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho) Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa...

Jumatano, 12 Septemba 2018

Expert Urges European Countries to Show Solicitude for the Persecution of The Church of Almighty God

Expert Urges European Countries to Show Solicitude for the Persecution of The Church of Almighty God On December 14, 2017, a news conference was held in the Chamber of Deputies, the Parliament of Italy in Rome, over the issue of Religious Freedom Violations in China—a Case Study of Persecution Against Christian Minorities. An internationally...

Jumanne, 11 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili"

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili" I Mungu alikuja duniani hasa kutimiza ukweli wa "Neno kuwa mwili." (tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa, Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni). Kisha, yote yatatimizwa katika enzi ya Ufalme wa Milenia kuwa ukweli ambao watu wanaweza...

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda...

Jumapili, 9 Septemba 2018

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini? Jinru    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa...

Jumamosi, 8 Septemba 2018

The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili

The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua. Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa....

Ijumaa, 7 Septemba 2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)

Xiaoxue, Malesia     Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno rahisi tu, “Mbinguni, dunia, watu, na, dunia, baba, mama….” Nilimfundisha mara chache hasa, lakini bado hakuweza kuandika. Angeandika...

Alhamisi, 6 Septemba 2018

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us I Ee Bwana, Nimefurahia nyingi ya neema Yako. Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani? Je, sijapata ukweli na uzima? II Kusoma maneno haya kunaweza kuyajibu maswali yako. "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu...

Jumatano, 5 Septemba 2018

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST REFUGEES CONTINUE IN KOREA, HACKERS TRY TO STOP BITTER WINTER

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST REFUGEES CONTINUE IN KOREA, HACKERS TRY TO STOP BITTER WINTER While Chinese agents, hired thugs and anti-cultists stage false “spontaneous demonstrations” and abuse refugees, hackers launch a massive attack against the Web site of Bitter...

Jumanne, 4 Septemba 2018

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa Yixin Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia...

Jumatatu, 3 Septemba 2018

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life I Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa. Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu. Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa hur...

Jumapili, 2 Septemba 2018

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST THE CHURCH OF ALMIGHTY GOD REFUGEES START IN SOUTH KOREA

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST THE CHURCH OF ALMIGHTY GOD REFUGEES START IN SOUTH KOREA Executing a secret plan that Bitter Winter revealed one month ago, the CCP brings to Korea relatives of asylum seekers of The Church of Almighty God and organizes false “spontaneous demonstrations” with the help of pro-Chinese anti-cult activists...