Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumatatu, 31 Desemba 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma Mwenyezi Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali.&nbs...

Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli?

Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli? Na Siyuan Vyanzo vya Krismasi Kila mwaka, Krismasi inapokaribia, maduka kwenye mitaa hutayarisha maonyesho yang’aayo ya zawadi za Krismasi, pamoja na Baba Krismasi na miti ya Krismasi, na kadhalika....

Jumapili, 30 Desemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan

Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. &nbs...

Ijumaa, 28 Desemba 2018

5 Unahitaji Kusadiki Vipi Mungu Ili Kuweza Kuokolewa na Kufanywa Kuwa Mtimilifu?

Sura ya 4 Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho 5. Unahitaji Kusadiki Vipi Mungu Ili Kuweza Kuokolewa na Kufanywa Kuwa Mtimilifu? Maneno Husika ya Mungu: Kufanya muhtasari wa kuishika njia ya Petro katika kumwamini Mungu, ni kuishika njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kujijua na kubadilisha tabia ya mtu. Ni kwa kuishika tu njia...

Alhamisi, 27 Desemba 2018

1. Kwa nini Mungu huitwa majina tofauti katika enzi tofauti? Ni nini umuhimu wa majina ya Mungu?

IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake 1. Kwa nini Mungu huitwa majina tofauti katika enzi tofauti? Ni nini umuhimu wa majina ya Mungu? Maneno Husika ya Mungu: Unapaswa kujua kuwa Mungu mwanzoni hakuwa...

Jumatano, 26 Desemba 2018

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu...

Jumanne, 25 Desemba 2018

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu Baada ya Liang Zhi kumwamini Mungu, bila kukoma alitafuta kwa shauku, na kujitosa katika kutimiza wajibu wake. Baada ya miaka kadhaa, alichaguliwa kama kiongozi wa kanisa. Wakati alipokuwa akitekeleza wajibu wake kama kiongozi wa kanisa, aligundua...

Jumatatu, 24 Desemba 2018

"Utamu katika Shida" (II): Kwa Nini Chama cha Kikomunisti cha China Kwa Hasira Kinakandamiza na Kutesa Imani ya Kidini?

Umeme wa Mashariki | "Utamu katika Shida" (II): Kwa Nini Chama cha Kikomunisti cha China Kwa Hasira Kinakandamiza na Kutesa Imani ya Kidini? Chama cha Kikomunisti cha China wakati huu wote kimewakandamiza kwa hasira, kuwashambulia na kupiga marufuku imani za kidini. Wanawachukulia Wakristo kama wahalifu wakuu wa taifa. Hawasiti kutumia njia...

Jumapili, 23 Desemba 2018

1. Mungu aliwakomboa wanadamu katika Enzi ya Neema, hivyo kwa nini bado anahitaji kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho?

III. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho 1. Mungu aliwakomboa wanadamu katika Enzi ya Neema, hivyo kwa nini bado anahitaji kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho? Aya za Biblia za Kurejelea: "Kwa...

Jumamosi, 22 Desemba 2018

15. Si Rahisi Kwako kwa Hakika Kujijua Mwenyewe

15. Si Rahisi Kwako kwa Hakika Kujijua Mwenyewe Zhang Rui Mji wa Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang Nilikuwa mtu mdanganyifu. Katika neno la Mungu tunaweza kuona kwamba watu wadanganyifu hawataokolewa na Mungu; ni watu wanyofu tu watakaopata sifa Zake. Kwa hiyo, nilitaka kuwa mtu mnyofu, kwa utambuzi kufanya mazoezi ya kuzungumza kwa usahihi,...

Ijumaa, 21 Desemba 2018

43. Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu

Umeme wa Mashariki | 43. Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu Cheng Mingjie Jiji la Xi'an, Mkoa wa Shaanxi Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi...

Alhamisi, 20 Desemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki Kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanakataa na kumhukumu Mwenyezi Mungu? Ni kwa sababu wanachukia, ni wenye uhasama na hawawezi kukubali ukweli ambao Mwenyezi Mungu mwenye mwili huonyesha. Hii ndio maana wanamkataa,...

Jumatano, 19 Desemba 2018

25. Umuhimu wa Uratibu Katika Huduma

Umeme wa Mashariki |  25. Umuhimu wa Uratibu Katika Huduma Mei Jie Jijini Jinan, Mkoani Shandong Baada ya kubadilisha uongozi wa kanisa kurudi kwa ule wa asili, ubia uliwekwa kwa kila ngazi ya kiongozi katika nyumba ya Mungu. Wakati huo, nilifikiri kwamba...

Jumanne, 18 Desemba 2018

Swahili Christian Sketch "Onyo Kutoka kwa Historia" (Kichekesho)

Swahili Christian Sketch "Onyo Kutoka kwa Historia" (Kichekesho) Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipotokea na kufanya kazi, Mafarisayo walikwamia sheria na kukashifu kazi Yake, wakisema kuwa kazi Yake ilienda zaidi ya Maandiko.&nbs...

Jumatatu, 17 Desemba 2018

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao...

Jumapili, 16 Desemba 2018

"Utamu katika Shida" (VI): Kufunua Ukweli wa Sera ya CCP juu ya Dini Iliyofunikwa na Katiba Yake

Utamu katika Shida” - Ukweli wa Sera ya CCP juu ya Dini Iliyofunikwa na Katiba Yake  Katiba ya serikali ya Kikomunisti ya Kichina hutamka dhahiri juu ya uhuru wa dini na ibada, lakini kwa siri kuna ukandamizaji wa jeuri na mashambulizi kwa dini na ibada. Wafuasi wa Kristo wanasingiziwa kuwa wahalifu wakubwa wa kitaifa na mbinu...

Jumamosi, 15 Desemba 2018

4. Sura ya tatizo la mtu asiyejua umuhimu wa jina la Mungu na asiyelikubali jina jipya la Mungu ni ipi?

IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake 4. Sura ya tatizo la mtu asiyejua umuhimu wa jina la Mungu na asiyelikubali jina jipya la Mungu ni ipi? Maneno Husika ya Mungu: Katika kila kipindi cha wakati,...

Ijumaa, 14 Desemba 2018

4. Ni jinsi gani hatua tatu za kazi ya Mungu kwa pole pole huongeza uketo ili watu waokolewe na kukamilishwa?

II. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu 4. Ni jinsi gani hatua tatu za kazi ya Mungu kwa pole pole huongeza uketo ili watu waokolewe na kukamilishwa? Maneno Husika ya Mungu: Usimamizi mzima wa...

Alhamisi, 13 Desemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Mtu Anaweza Kuokolewa kwa Kumwamini Bwana Katika Dini?

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Mtu Anaweza Kuokolewa kwa Kumwamini Bwana Katika Dini? Ndani ya dini, kuna watu wengi ambao wanaamini kwamba, ingawa wachungaji na wazee wanashikilia mamlaka katika ulimwengu wa dini na kutembea njia ya Mafarisayo wafiki, ingawa wanakubali na kuwafuata wachungaji na wazee,&nbs...

Jumatano, 12 Desemba 2018

51. Nilipitia Wokovu wa Mungu

51. Nilipitia Wokovu wa Mungu Cheng Hao Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan Kwa neema ya Mungu, mimi na mke wangu tulipandishwa vyeo hadi kwa timu ya injili ya pili ili kutimiza wajibu wetu. Muda mfupi uliopita, mke wangu alipandishwa cheo kuwa mkurugenzi wa timu,...

Jumanne, 11 Desemba 2018

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu Kwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini, inavuruga utaratibu wa kidini, na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mungu...

Jumatatu, 10 Desemba 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu?

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu? Mafarisayo wa dunia ya kidini wote wana maarifa nyingi ya Maandiko na wamemtumikia Mungu kwa miaka mingi, na bado hawatafuti na kuchunguza kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili tu, lakini kinyume na hayo, wanahukumu vikali, kushutumu, na...

Jumapili, 9 Desemba 2018

Christian Video Swahili "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu

Umeme wa Mashariki | "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu Kwa sababu yeye alitoka katika familia iliyo masikini, tangu akiwa na umri mdogo Du Juan alikusudia kutengeneza pesa nyingi sana apate kuishi maisha mazuri. Ili kufikia lengo hili, aliacha shule mapema zaidi kwenda kufanya kazi ya mikono, chochote angeweza...

Jumamosi, 8 Desemba 2018

9. Ni jinsi gani Mungu anayepata mwili ili kufanya kazi ya hukumu huimaliza imani ya wanadamu katika Mungu asiye yakini na enzi ya giza ya utawala wa Shetani?

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu 9. Ni jinsi gani Mungu anayepata mwili ili kufanya kazi ya hukumu huimaliza imani ya wanadamu katika Mungu asiye yakini na enzi ya giza ya utawala wa Shetani? Aya za Biblia za Kurejelea: "Na itatimia katika siku za mwisho, kwamba mlima wa nyumba ya Yehova utawekwa...

Ijumaa, 7 Desemba 2018

3. Ni vipi kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa wanadamu?

III. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho 3. Ni vipi kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa wanadamu? Aya za Biblia za Kurejelea: "Na iwapo mtu yeyote atayasikia maneno yangu, na asiyaamini, Mimi sitamhukumu: kwa kuwa mimi sikuja ili niihukumu...

Alhamisi, 6 Desemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi.&...

Jumatano, 5 Desemba 2018

3. Jina la Mungu linaweza kubadilika, lakini asili Yake haitabadilika kamwe.

IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake 3. Jina la Mungu linaweza kubadilika, lakini asili Yake haitabadilika kamwe. Maneno Husika ya Mungu: Kuna wale ambao wanasema kuwa Mungu habadiliki. Hiyo ni sahihi,...

Jumanne, 4 Desemba 2018

62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa

62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na...

Jumatatu, 3 Desemba 2018

Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God

 Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God (Official Video) Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu, lazima tutafute mapenzi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake...

Jumapili, 2 Desemba 2018

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu"

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu" Mwenyezi Mungu anasema, "Kama huelewi tabia ya Mungu, basi itakuwa haiwezekani kwako wewe kufanya kazi unayofaa kumfanyia. Kama hujui dutu ya Mungu, ndivyo pia haitawezekana kubakiza hali ya kumcha na kumwogopa Yeye, utakuwa ni uzembe na kuepuka kusema ukweli wote...

Jumamosi, 1 Desemba 2018

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache"...